Saturday, February 6, 2010

UPEPO MKALI WAATHIRI MORO

Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa umeleta athari kwa wakaazi wa maeneo ya Morogoro Mjini, upepo huo ulitokea jana mnamo majira ya saa nane mchana umeangusha miti na kuharibu nyumba pamoja na mali nyengine za wakaazi wa maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment