Thursday, February 4, 2010

TAXI ZA KENGEJA

Nakumbuka mnamo mwaka 1995/96 nilikwenda kutembea Kengeja Pemba nikakutana na hizi Taxi, uzuri wa Taxi hizi kwanza ni tofauti na zile za kawaida, hizi zilikua ni kama dala dala wewe utapanda na akitokezea mwngine anapanda,huwa hazijai zina uwezo wa kuchukua abiria mpaka 10 na dereva huwa anapata nafasi ndogo tu ya kukaa na safari inakua raha mustarehe.

No comments:

Post a Comment