Friday, December 18, 2009

WA SPAIN NA MICHEZO YAO YA HATARI

Mchezo wa ng'ombe ni maarufu sana kule spain ni sawa na sherehe za mwaka kogwa na wamakunduchi,lakini mimi nashindwa kujua ni nini hasa starehe ya mchezo huu wa ng'ombe, na nahisi hata ule mchezo wa ng'ombe Zanzibar wameiga kutoka huku.

Waangalie kwenye video jinsi wanavyo tiwa adabu na ng'ombe:

No comments:

Post a Comment