Thursday, December 3, 2009

MAJUMBA YA DHAHABU BRUSSEL

Watu hufurika kwenye majumba hayo kwa ajili ya kupiga picha
huyo farasi pamoja na mtu alopanda farasi wote ni wa dhahabu
Vitu vyote hivo unavoviona katika picha hizi ambavyo vinang'ara ni dhahabu, wazungu huenda Afrika wakachukua dhabu wakaja kupamba majumba yao ya kifalme wakati kunakochimbwa dhahabu hio watu hawana hata chakula.Ukiangali nchi kama Congo, hio dhahabu ndio inayosababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyozaa wakimbizi kila kona ya dunia

3 comments:

  1. kwa mtazamo wangu lakini,ni rangi tuu ya dhahabu lakini sio madini ya dhahabu...

    ReplyDelete
  2. hii ni dhahabu 100% kwa sababu mimi mwenyewe mwanzo nilikua nasema kama hivo lakini kuna mtu walikwenda pale kwa ziara ya kimasomo na muhusika wa pale aliekua akiwatembeza ndo aliewaambia kama ni dhahabu.

    ReplyDelete
  3. Mkuu hilo jumba halina ulinzi wowote ni jumba liko pale Brussels Centrum.Kama ni dhahabu watu wangeshaiba kitambos.....mimi pia nishafanya tour mji huo wa Brussels, na kawaida kila mwaka mnamo Feb huwa nakwenda kwenye mji huo...sifikirii kama ni dhahabu hiyo!

    ReplyDelete