Monday, November 2, 2009

MZOEA PUNDA HAPANDI FARASI


Licha ya serikali kupiga hatua moja mbele katika sekta ya michezo nchini tanzania kwa kujenga uwanja wa kisasa wenye kila aina ya huduma sawa na baadhi ya viwanja vya kisasa katika baadhi ya nchi duniani,lakini wanachi wanafanya kila juhudi ya kuharibu na kutaka kurudisha nyumba maendeleo hayo.
Picha za hapo juu zinaonesha jinsi ya watu walivyojaza mikojo katika masinki ya kunawia mikono huku wakiacha vyoo ambavyo vimejengwa maalum kwa huduma hio,tukio hili lilitokea katika uwanja mpya wa taifa wakati wa mechi ya Simba na Sanga mwishoni mwa wiki iliopita na hii inajidhihirishia wazi kwamba wa punda hapandi farasi

No comments:

Post a Comment