Thursday, November 5, 2009

MWANANCHI AKAMATWA NA NOTI BANDIA


Kamanda wa polisi kanda maalum ya dar-es-salaam, Suleiman Kova akionyesha baadhi ya pesa bandia sh. 510,000/alizokamatwa nazo bibi Sauda Selemani jana ,pamoja na pesa hizo bibi Sauda alikamatwa pia na meno ya tembo yenye thamani ya sh. 7.3m

No comments:

Post a Comment