Wednesday, September 30, 2009

MAANDAMANO YA CUF YATIKISHA JIJI LA DAR

Fanya Fujo Uone wakihakikisha usalama unapatikana katika maandamano hayo
Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba baada ya maandamano
Wananchi wakikatisha katika mtaa wa Msimbazi Kariakoo
Chama cha wananchi CUF leo wamelitikisha jiji la Dar kwa kufanya maandamano ya aina yake, maandamano hayo yalikua na lengo la kudai tume huru na ya haki katika uchaguzi mkuu nchini,maandamano hayo yalianzia Buguruni na kumalikia katika viwanja vya kidongo chekundu

No comments:

Post a Comment