Wednesday, September 30, 2009

KUMBE KILA KITU KINAWEZEKANA

Hatimae kilio cha wanafunzi wa skuli ya kibasila kupitia maandamano waliyoyafanya chasikilizwa. serikali imekubali kukaa chini na kuzungumza na wanafunzi hao na kukubaliana kuweka matuta eneo la skuli hio kwa kupunguza ajali za mara kwa mara zinazotokea skulini hapo. sasa mimi hapa ndio hujiuliza, kumbe kama kusingekua na maandamano wanafunzi hao wangeendelea kuuwawa kwa ajali kila siku,

mhhh nakosa jibu

No comments:

Post a Comment