Tuesday, September 29, 2009

JK AFUNGUA RASMIN JENGO LA UBALOZI WASHINGTON DC




Rais kikwete amefungua rasmin jengo la ubalozi wa tanzania nchini Marekani ambalo lipo katika jiji la Washington DC. Jengo hilo ambalo serikali imelinunua limegharimu kiasi cha dola za kimarekani $ 10,415,000.

No comments:

Post a Comment