Karibu leo na kila siku
M.Mungu atusaidie, maana mie wala sisikitii na buibui.Ninachosikitika mie ni hivyo kuwa wako safarini kuhaha kutafuta maji!Hii ni aibu kwa Zanzibar, ilikotoka na hadi kufikia hapa ilipo sasa kuwa wananchi wake wanahangaika kununua maji na mabarafu kutoka Bara.
M.Mungu atusaidie, maana mie wala sisikitii na buibui.Ninachosikitika mie ni hivyo kuwa wako safarini kuhaha kutafuta maji!
ReplyDeleteHii ni aibu kwa Zanzibar, ilikotoka na hadi kufikia hapa ilipo sasa kuwa wananchi wake wanahangaika kununua maji na mabarafu kutoka Bara.