Wednesday, January 6, 2010

HAPO VIPI?


Mara nyingi mtu akifanya jambo lake huangalia faida tu atakayoipata bila ya kuangalia na hasara itakayoweza kutokezea, hivi kuna usalama uliozingatiwa katika kufanya biashara katika eneo hili au watu wanajali pesa tu?.

2 comments:

  1. Kusudi haiambiwi pole, maana hata kama ugumu wa maisha lakini sio kuining'iniza roho yako pahali kama hapa

    ReplyDelete
  2. hii sasa noma, hivi hawa wahusika wamekwenda likizo?

    ReplyDelete