Monday, November 2, 2009

KARZAI ATANGAZWA MSHINDI KATIKA UCHAGUZI WA AFGHANISTAN


Tume ya uchaguzi Nchini Afghanistan mapema loe hii imemtangaza Hamid Karzai kua ndie mshindi katika uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo,tume hio ya uchaguzi ilitangaza habari hizo leo jumatatu baada ya kuahirisha uchaguzi wa marudio ambao ulipangwa kufanyika tarehe 7 november.
Azizullah Ludin, mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi nchini humo alitamtangaza bwana Karzai alipokua akizungumza na waandishi wa habari licha ya kusisitizwa kabla kwamba kuahirisha marudio ya uchaguzi ni uvunjwaji wa katiba.

No comments:

Post a Comment