Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mh, Amani Abeid Karume akiwa katika ziara huko kisiwani Pemba alitembelea maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuweka mawe ya msingi katika majengo mbali mbali pia alifungua skuli mpya huko Kiuyu iliopo Mkoa wa kaskazini Wilaya ya Micheweni Pemba skuli ambayo lilianza kujengwa tokea mwaka 2050.
Katika ziara hio Rais Karume alitembelea pia katika kituo cha Umeme Wesha kuangalia maendeleo ya uwekaji wa waya za umeme kutoka rasi Mkumbuu hadi Wesha .
.
No comments:
Post a Comment