Leo tulipata safari ya Eindhoven na hii ndio hali tulikutana nayo mjini humo

Ilibidi tufuate mabango kwa sababu tulikua hatuna tom tom

Tulikutana na foleni wakati tunaingia mjini

Spitali ya Maxima

Maeneo ya mji wa Eindhoven

Station ya mabasi Eindhoven

Uwanja wa Philips ambao ndio wanao tumia timu ya PSV Eindhoven

Sehemu ya mbele ya Uwanja ambako kuna duka la vivaa vya michezo


Tulibahatika pia kuingia ndani ya duka na hii ndio mandhari yake

Kumbukumbu ya mechi kati ya PSV na Inter ambayo ilichezwa mwaka 2007 imewekwa ndani ya frame kwenye duka hilo

Jezi pamoja na viatu alivyowahi kuvaa Van Nistelrooy alipokua akichezea PSVkabla ya kuhamia Man U, pia vimo ndani ya frame kama kumbu kumbu

Kumbu kumbu ya mechi kati ya Oranje na Brasil pia ikiwa ndani ya frame lakini hawakuandika ni ya mwaka gani

Jezi hii na viatu aliwahi kuvaa Van Bommel wakati akichezea PSV. na kwenye hio picha iliyo ndani ya frame huyo mwenye jezi nyeusi ndio Van Bommel
.
No comments:
Post a Comment