
Pantoni la kwendea Amsterdam Noord ambako usafiri wake kwa kawaida ni bure

Huku ndio Amsterdam Noord ambako unavuka

Hili pantoni limefanywa ndio maegesho ya baskeli kwa upande wa nyuma wa train station

Hizi pantoni ziko nyingi na zinakwenda sehemu tofauti huko Noord

Pantoni ikiondoka kuelekea Noord

Upande wa nyuma wa station ambako ndiko kwenye usafiri wa pantoni kwenda Amsterdam Noord

Hapa ni juu kwenye platform

Jengo la station kwa mbele na hii gari ndio gari za wazee wa hapa

Hapa ni mbele kwenye kituo cha tram
.
No comments:
Post a Comment