1. Yasingetokea mauwaji yalioyotokea
2. Watu wasingenyang'anywa mali zao
3. Wanawake wasingeolewa kwa nguvu
4. Zanzibar isingekuwa mkowa wa Tnganyika
5. Uislamu usingeathirika
6. Mila za Kizanzibari zisingepotea
7. Kiswahili cha Unguja kisingepotea
8. Umaskini, Maradhi, ujinga uliyopo sasa usingekuwepo
9. Chuki ziliopo hivi zisinegekuwepo
10. Kuhama na kutokuamini mungu baina baadhi ya Wanzibari kusingekuwepo
11. Chuki dhidi ya Waarabu isingekuwepo
12. Alaka baina ya Unguja na nchi za Kiarabu/Ki-Islamu ingezidi
13. Misaada kutoka nje, hasa nchi za kiarabu na za Ki-Islamu, inegezidi
14. Makanisa yasingezidi Zanzibar
15. Missionaries wasingethubutu kuhujumu Uislamu Zanzibar
16. U-zanzibari ungepata nguvu na heshima duniani
17. Historia ya Unguja isingeparaganywa
18. Wazanzibari wasomi wangebaki Zanzibar kwa manufaa ya nchi yao
19. Makoministi wakieneyji wangetoweka
20. Uwongo na uzushi unaotapakzwa hivi sasa dhidi na Mashekhe na viongozi wetu usingekuwepo
No comments:
Post a Comment