
Ndinga niliorudi nayo home

Mabasi wanayotumia katika mji wa la louviere

Niliingia katika market moja na ilikua ni tofauri na nyengine kwani ilionekana kama vile ghala lakini imefanywa ni market , na hapa ni foleni kuelekea kwenye malipo na wale wafanyakazi wanaohusika na mambo ya malipo wao daima husimama tofauti na market nyengine, na wale jamaa wawili waliovalia buluu ndio wafanyakazi.

Hii ni sehemu ya kutokea, kwa ghafla unaweza ukasema ni ghala

Mtaa mmoja unaokwenda hadi stesheni ya treni
No comments:
Post a Comment