Sunday, January 17, 2010

MENGINE NI KUJITAKIA

Jamaa huyu mwenye baskeli ya maringi matatu ikiwa imebeba mizigo na kupita katika njia ya treni je ataweza kutoka kwa ghafla mara tu treni litakapopita?na hapa inaonekana njia ipo ya kupita hata gari lakini kaiwacha.

No comments:

Post a Comment