
Mcheza tenis namba moja duniani Rogger Federer atinga katika mzunguko wa nne kwenye mashindano ya Australian Open baada ya kumbamiza bila ya huruma kwa seti tatu bila 6-3, 6-4, 6-4 mspain mweny kushikilia nafasi ya 23 duniani Albert Montanes.Federer atakutana na Lleyton Hewitt katika mzunguko huo wa nne.
No comments:
Post a Comment