Timu machachari ya Zanzibar Heroes imewalaza kaka zao wa Tanzania Klimanjaro Stars goli 1-0 katika mashindano ya chalenji yanaomalizika leo hii huko Nchini Kenya.
Goli lililofungwa na Abdi Kassim limewawezesha vijana wa Zanzibar Heroes kuchukua nafasi ya tatu katika mashindano hayo na kunyakua kitita cha dola za kimarekani 10,000
Tunawapa hongera Zanzibar Heroes kwa ushindi walioupata.
No comments:
Post a Comment