Waafrika hata wangelivumbua magari basi wangesahau wipers za kufuta maji kukiwa na mvua...ndio haya magari tokea lini yakaegeshwa kwenye majani, huu sio uharibifu wa mazingira?
hahahahahahahahaaaaa, sasa hapa hata mimi najiuliza yakifa haya majani watapanda mengine? ama wanakimbia kuegesha hizi gari kwenye hizi tiles kwa sababu zitavunjika au?
Waafrika hata wangelivumbua magari basi wangesahau wipers za kufuta maji kukiwa na mvua...ndio haya magari tokea lini yakaegeshwa kwenye majani, huu sio uharibifu wa mazingira?
ReplyDeletehahahahahahahahaaaaa, sasa hapa hata mimi najiuliza yakifa haya majani watapanda mengine? ama wanakimbia kuegesha hizi gari kwenye hizi tiles kwa sababu zitavunjika au?
ReplyDelete