
Bimaka Abdallah Mohammed akipokea shahada ya kwanza kutoka kwa Rais Amani Karume katika mahafali ya sita ya chuo cha uongozi wa fedha Chwaka

Philemon Pius Mechel akipokea shahada ya kwanza kutoka kwa Rais wa Amani Karume katika mahafali ya sita ya chuo cha uongozi wa fedha Chwaka

Wahitimu wa mahafali ya sita katika chuo cha uongozi wa fedha Chwaka baada ya kutunukiwa shahada zao za kwanza jana.
No comments:
Post a Comment