
Kutokana na mshika veli kuingia mitini ilibidi wenyewe tufanye kazi hio
.JPG)
Ommykiss, Said, Couchmanu, na Dulla tulipata kumbukumbu baada ya harusi

Nabiel pamoja na visheti kama kawaida

Bwana harusi Abdi na Bibi harusi Saida wakiweka kumbukumbu kabla ya harusi

Licha ya baridi lakini watu walionekana ni wenye furaha

Taswira baada ya harusi

Ali chuchu Mani Dulla pamoja na mpiga picha Said nao pia walipata kumbukumbu muhimu

Majirani marafiki pamoja na wafanyakazi wa Gemente katika picha ya pamoja (mwanamke mwenye shati nyeusi na flana ya pink ndie alieozesha)

Bwana na bibi harusi wakikubaliana kuishi pamoja

Abdi akimwaga wino

Saida nae pia alimwaga wino

Mambo ya ndoa
Hongera na pongezi...nimefurahi sana nilivyoiona hizi picha.
ReplyDeleteKila la kheri...
Muhsin
duh! ameozesha mwanamke? au ndo sayansi na technologia
ReplyDeletehaloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooommependeza wenye wivu wajinyonge
ReplyDelete