
Vijana wakionekana kuwasaidia wanafunzi kuvuka njia katika mtaa wa mivinjeni kwenye barabara ya Kilwa ( kilwa road) baada ya kukosekana kwa wenye kazi hio ( askari wa usalama barabarani), eneo hilo linasemekana kuwa na ajali nyingi zinazowahusisha wanafunzi wakati wakivuka barabara.
No comments:
Post a Comment