
Wachezaji wa
Chelsea wakishangilria goli la kwanza lililofungwa na Anelka na baadae goli la pili lilifungwa na Malouda,kwa matokeo hayo
Chelsea waizuia
Liverpool kubaki katika nafasi ya 5 wakiwa na alama 15 sawa na
Arsenal lakini
Arsenal wako mbele kwa tofauti ya magoli na pia wako nyuma kwa mchezo mmoja huhuku
Chelsea wakipanda kileleni mwa ligi hio kwa kua na alama 21 wakifuatiwa na Mashetani wekundu kwa kuwa na alama 19 na nafsi ya tatu ikishikiliwa na
Tottenham kwa kuwa na alama 16
No comments:
Post a Comment