
Mashetani wekundu waendeleza rekodi ya kutofungwa nyumbani kwa mechi za Champions League tangu 2005 kwa kuikandamiza Wolfsburg 2-1, mabao ya mashetani wekundu yamewekwa nyavuni na Gigs huku bao la pili likapachikwa na Carrick.
Matokeo mengine ni kama ifuatavyo
Milan 0-1 Zurich
Bayern 0 - 0 Juventus
Bordeaux 1 - 0 Maccabi Haifa
Real Madrid 3 - 0 Marseille
Porto 2 - 0 Atletico Madrid
APOEL Nicosia 0 - 1 Chelsea
CSKA Moscow 2 - 1 Besiktas
No comments:
Post a Comment